Kioo cha Sony experia Z

Sony Xperia ndizo simu bora duniani kwa sasa. Ingawa copy and paste bongos wako busy na Tecno, Samsung. Ila best kupata kioo kwa bei hiyo sijui
 
Agiza mkuu,, baada ya 1week umepata.
 
Sony Xperia ndizo simu bora duniani kwa sasa. Ingawa copy and paste bongos wako busy na Tecno, Samsung. Ila best kupata kioo kwa bei hiyo sijui

Ukisema simu bora bila kuweka kigezo ni sawa na kusema "wimbo fulani ndio wimbo bora kabisa duniani sasa hivi".

Sony Xperia ni simu bora kabisa kwa kigezo gani?
 
Nenda posta mtaa wa chagga na libya,karibu na shelly ya mafuta kuna wahindi wanadeal na issue kama yako, ila kwa iyo bei nna mashaka kama utapata huduma unayohitaji.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…