King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,283
- 98,885
Kwani mkuu lazima ukajisaidie hapo hapo...au unaweza ukajisaidia nyumbani...ukampelekea na akakupa hela...??
Dah! Aiseeee. Hizi fursa balaa sana. Kwa hiyo buku kwa ujazo gani? maana waona fursa wataenda piga hata karanga za mbuzi kisha wasipolipwa watalianzisha.
we jamaa bhana i'm having dinner here......Umofia kwenu wana JF,
Nilikuwa namsikiliza zembwela supermix alikuwa anamuhoji mjasiliamali mmoja ambaye amesema mtu akienda kujiasaidia kwenye choo chake haja kubwa anamlipa buku kwahiyo mtu huyo akijasidia mara nne anaondoka na buku nne,vijana mliopo dsm changamkieni fursa hiyo! Kwa maelezo zaidi pigeni simu east africa radio au mpigie zembwela awapeni namba ya huyo jamaa ili muende kunya kwenye choo chake mlipwe!
we jamaa bhana i'm having dinner here......