Jamani nisaidieni huyu mrema wa register ya mahakama ya appeal ni nani hapa arusha? Anatesa watu sana ebu nisaidieni nani yuko nyuma yake. Kwanza anafanya kazi kwa kupenda. Mbili anairikadi ya kisiasa ndani ya ofisi ya serikali. Nijuzeni kama mnamfahamu.