JF Member Platinum Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,439 Reaction score 11,991 Mar 30, 2019 #1 Mwenye uzoefu na hiki king'amuzi naombeni uzoeafu. Je local channel zinapatikana bila kulipi? Vifurishi vyake viko poa kwa maana ya kumudu mtu yeyote? Mawimbi yake je?
Mwenye uzoefu na hiki king'amuzi naombeni uzoeafu. Je local channel zinapatikana bila kulipi? Vifurishi vyake viko poa kwa maana ya kumudu mtu yeyote? Mawimbi yake je?
chendelela JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 1,145 Reaction score 1,013 Mar 30, 2019 #2 Local channel n bure kabisa nashangaa watu kwa nn wanang'ang'ania Azam. Sent using Jamii Forums mobile app
Local channel n bure kabisa nashangaa watu kwa nn wanang'ang'ania Azam. Sent using Jamii Forums mobile app