N Nyrum Senior Member Joined Aug 11, 2013 Posts 124 Reaction score 41 Jan 11, 2014 #1 habar ya weekend wapendwa. me nahtaj king'amuz cha startimes kwa bei tajwa (40000/=Tshs). mwenye nacho anipm au 0782701288 npo dar.
habar ya weekend wapendwa. me nahtaj king'amuz cha startimes kwa bei tajwa (40000/=Tshs). mwenye nacho anipm au 0782701288 npo dar.
T T999ZZZ Senior Member Joined Feb 21, 2013 Posts 107 Reaction score 33 Jan 11, 2014 #2 Ninacho kibovu kiliungua kulingana na bei yako kinakufaa sana wewe.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,952 Reaction score 98,062 Jan 11, 2014 #3 T999ZZZ said: Ninacho kibovu kiliungua kulingana na bei yako kinakufaa sana wewe. Click to expand... T 999 ZZZ hyo namba itakuja baada ya miaka 50 kama ikienda kwa kasi hii.
T999ZZZ said: Ninacho kibovu kiliungua kulingana na bei yako kinakufaa sana wewe. Click to expand... T 999 ZZZ hyo namba itakuja baada ya miaka 50 kama ikienda kwa kasi hii.