Kimenuka mwibara/Bunda

Kitendo cha huyo kamanda wa bunda aliyeshinda kura za maoni kupisha Esther, inaonyesha uchaguzi ndani ya chama hicho haukuambatana na rushwa vile vile kwa sasa Chadema /ukawa ni wamoja kupita maelezo.
 
Kitendo cha huyo kamanda wa bunda aliyeshinda kura za maoni kupisha Esther, inaonyesha uchaguzi ndani ya chama hicho haukuambatana na rushwa vile vile kwa sasa Chadema /ukawa ni wamoja kupita maelezo.

Ni kweli jamaa ni mkomavu kisiasa make hata yeye mwenye anakili alikuwa hatamani kukutana bulaya uchaguzi mkuu kama ccm wangempitisha, meke bulaya yuko vizuri pale jimbon kuliko yeye, wasira, nk.
 
CCM wanapenda sana kuingilia mambo yasiyowahusu.

Mwaka huu ndio mwisho wapi.

hujaona chadema kuingilia maamuzi ya ccm kumkata lowassa wanasema ccm haijamtendea haki lowassa? au huko si kuwaingilia ccm? tatzo la wanachadema na wafuasi weng wa chadema mnatumia makalio kufikilia, so ni vyema mkatulia kwanza kabla hamjakurupuka.
 
Mkuu huyo Mzee ni kumzoa kwa kimbunga bila kumuangalia usoni maana unaweza kumuonea huruma

What? Ngoja kwanza, unamaanisha ule msemo kuwa "Unapotaka kumuua .......... usimuangalie usoni au?"
 

Wanaosema team madodoki hauwaoni?
 
Zilikuwa enzi hizo ,,watu sahv wamebadilika ndugu yangu,,acha kuishi kwa kukalili

Pia nimkumbushe kuwa hapa tunaongelea Bunda Mjini na sio Serengeti, Musoma wala Tarime, subiri huyo mzee wenu ataisoma namba si muda mrefu!
 
itafahamika tu mwaka huu mwisho wenu
 
Mkuu hapa bunda bulaya anakubalika mno, yaani hata angegombea kwa ccm angetushinda chadema, nashukuru ccm kwa kumuwekea mizengwe mapema nae bila ajizi akajiunga nasi, atashinda asubuhi tu

Cha muhimu mchungeni Wassira ni mtaalamu wa kuchakachua na kuhonga, mkimpa mwanya mtalia.
 
Cha muhimu mchungeni Wassira ni mtaalamu wa kuchakachua na kuhonga, mkimpa mwanya mtalia.

Hilo lizee ni lizoefu sana kwahiyo inabidi uangalizi wa kutosha kabisa
 
'Usiyempenda kaja' ndo kilichomkuta wasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…