Aisee una data. Ila namuonea huruma.sometimes kujitia kimbelembele nako kunaponza.wengine wanaishia kukuchekaHapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe kabisa kiongozi...Why donβt they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..
Thatβs the way I like it and thatβs the way we did it back in the day.
Social media beefing is for cowards.
Umbea classic kabisaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha aaaa yaani brand ndo habari ya mjini!!Hongera Hamisa kwa kuwa ambasado wa Prima naona mnaenda sambasamba na Zama wa Mketema
Mnyakyusa au mhehe?Halafu huyo Neema Ndempanya ni kabila gani? Numbisa
Hapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee kumbe pole yake ndio maana sijaona umbea tangu majuzi mweh yule demu nilimuona mjinga kuacha kibarua dubai kurudi bongo njaa kali
Huyu naye,,ndivo alivo au ngiri imemkamataHuyu nae sijui enzi za kumtukana le mutuz kibamia nae alikua anatukana humo humo au alipotezea View attachment 840467
Huyu naye,,ndivo alivo au ngiri imemkamata
πππππππ,,umekiona kidudu lakini,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mpaka nimepaliwa,watu mna maneno
πππππππ,,umekiona kidudu lakini,,