Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,351
- 289,431
Duh!Wapiga dili
Bado haijafahamika kama lengo ni kuilinda NHIF au la , lakini hali ndio kama unavyoiona .
View attachment 891749
Hakuna vimeo wa kulipa kama NHIF , hapa lazima kuna jambo .Watakuwa wanazingua kuzilipa hospitali.
ninayo majina ya watoa huduma kadhaa wanaoidai NHIF malipo ya hadi miezi minne mpaka sasa , hizo hela si walipe madeni kwanza ?NHIF kwasasa wanajigamba kuwa wanapesa nyingi na wataka kuanza kukopesha taasisi za Serikali, ila wajiangalie mikopo tena kwa taasisi za serikali huwa hailipwi katika muda muafaka wasije wakafilisika.
Kwa io mtu yoyote anayefanya BOT ana kipato kikubwa?Hivi mleta mada huna habari hadi leo hii.....hapo kwenye tangazo ni mashirika ya bima za afya kwa watu wenye vipato vikubwa kutoka kampuni kubwa binafsi pamoja na serikali....mfano hai watumishi wa Benki Kuu Ya Tanzania (nina uhakika) walikuwa hawatibiwi kwa bima hizi zetu za NHIF...hahaha! sasa mzee Magu nasikia aliwapiga stop na kuwaambia wajichanganye huku kwetu! Nadhani si ajabu hiyo mikampuni ya bima vipato vyao vimedorora!
wanakopesha vifaa tiba na kutoa mikopo ya majengo na miundo mbinu ya huduma za afya.jielimishe !NHIF kwasasa wanajigamba kuwa wanapesa nyingi na wataka kuanza kukopesha taasisi za Serikali, ila wajiangalie mikopo tena kwa taasisi za serikali huwa hailipwi katika muda muafaka wasije wakafilisika.
Wanaowakopesha watalipa? Angalia mashirika ya hifadhi za jamii yalivyokopesha na yamejikuta hayalipi pensheni kwa muda. Na wao wanaingia katika mkumbo huohuowanakopesha vifaa tiba na kutoa mikopo ya majengo na miundo mbinu ya huduma za afya.jielimishe !
kwa mfano ni ni akina nani waliopata mikopo kutoka NHIF ?wanakopesha vifaa tiba na kutoa mikopo ya majengo na miundo mbinu ya huduma za afya.jielimishe !