Kilwa road a.k.a machinjioni

bagwell

Senior Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
113
Reaction score
25
Wakuuu Naikubali hiyo picha ya mataaa mna mara mwisho ilitengenzwa pindi Kikwete alipokwenda kuweka jiwe la msingi la daraja na siku iliyofuata iliharibika tena.....Inamaana kuwa hizi taa akipita Kiongozi wa Nchi ndio zafanya kazi...wakuu hapo kila siku ajali na ndio mana kwa sisi wakaazi wa Mbagala tunapaita Majinjioni mna ukipita bila tahadhari unaondolewa duniani....Jamani tusaidianeni kushughulikia matatizo kama haya au kwa kua haishi kiongozi mkubwa wa serikali huko kwetu..
 

Attachments

  • kilwa road.jpg
    122.4 KB · Views: 97
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…