Mpigamsuli JF-Expert Member May 24, 2012 3,885 575 May 24, 2014 #1 Maandalizi ya kilimanjaro music tour 2014 leo yanafanyika moshi-ushirika stadium kila kitu kipn tayari ni wasanii tu ndo wanasubiriwa
Maandalizi ya kilimanjaro music tour 2014 leo yanafanyika moshi-ushirika stadium kila kitu kipn tayari ni wasanii tu ndo wanasubiriwa
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,174 May 24, 2014 #2 wajinga hao wameanzisha fitna kama cloud na fiesta yao
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,671 May 24, 2014 #3 Msalimie mpiga Msuli nasikia inafanyika chuo chao cha kata ushirika......Mwambie Azungushe kikwetukwetu.
Msalimie mpiga Msuli nasikia inafanyika chuo chao cha kata ushirika......Mwambie Azungushe kikwetukwetu.
junior mzolo Senior Member Jan 26, 2014 140 7 May 24, 2014 #4 Nyie nendeni tu, ,ngoja nasi tutafute pesa