Kilichojiri Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema, Mikocheni DSM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,437
147,135
Pamoja na Mtandao kutatizika bado tunasubiri Kamanda Erythrocyte wa Ufipa st utujuze kilichojiri pale Chadema HQ mikocheni kwenye CC

Makamu Mwenyekiti mh Tundu Lisu alionekana kuvaa T-shirt ya Bavicha badala ya Gwanda kama Wajumbe wote ndipo tulipoishia......

Mtandao umerejea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ha ha haaaa. Akili zako unazijua mwenyewe
 
Nchi imesimama inasubiri tamko la chama

Tamko litakuwa tutaendelea kupinga tume huru feki

Tutaendelea kudai katiba

Maandamano Kila wilaya yataendelea

Muunga serikali 3

Au Kuna la tofauti unategemea kusikia bwashee??
 
Mlipokuwa mnazuiwa mlikuwa mnaiamsha nchi. Hata mlipotangaza maandamano nchi nzima ilisimama kama mnavyopenda kusema. Ila kwa sasa MWAFWA. maandamano yenu yamejaa matusi, kejeli watanzania huwa HAWAPENDI tabia hizo. Sijui mtajifunza lini. Lakini kwa kukoswa mvuto kwa wananchi mmeshindwa kupata wafuasi wengi kwenye mikutano yenu kiasi ambacho ufuatiliaji kwenye social media pia umeporomoka vibaya. Kipindi mko vizuri THREAD hii ingekuwa na watazamaji sio chini ya 1000 na wachangiaji 100.
Toeni DJ hapo juu wekeni Heche nyambaff
 
Nimetoka Msikitini alasiri,nimemwombea sana lissu dhidi ya hujma za Mbowe .
 
Lissu yupo Rafu sana kimavazi na namna yakujiweka kama kiongozi wa ngazi ya juu.anavaa na kunyoa kisera sera tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

cc Erythrocyte
Kisera - ❌

Kisela -βœ”οΈ

Huu msemo wa kisela ( sailor )/ baharia ulitokea miaka ya 70 mpaka 80 mwishoni baada ya wale mabaharia walipokuwa wakirudi kutoka safari za meli barani ulaya walirudi na pombe za kopo, vito vya thamani, nguo zilizokuwa zinapendwa na vijana wa enzi hizo ulaya , pesa za huko na mtindo wa kimaisha wa kimagharibi n.k ndio wakatohoa kuja kuitwa masela/ ma-sailors .

Hivi UPE ilifutwa siku hizi maana machawa naona kigezo cha kukabidhiwa kazi ni lazima uwe ulikimbia umande.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…