SASA NI ZAMU YETU WALUTHERI......
TUMECHOKA KUONGOZWA NA WAKATOLIKI.....
https://twitter.com/JMakamba/status/640820185079914496
Hapa yanatafutwa mabadiliko tu.Sera,sera kitu gani miaka hamsini yote hizo sera zilikuwa wapi watu ni maskini wa kutupwa.
Woga wako ndio umasikini wako wala usisingizie ccm, hao akina Mbowe, Ndesamburo, Lowassa, Sumaye na wengine wengi mlionao huko, hao nao masikini? Punguza ushabiki na mahaba sikiliza wagombea kwa makini, then amua cha kuchagua