πππππMi mwenyewe natosha kule quba sikukwenda kuangalia magorofa
Kumbe unafahamika njia hiyo?
Jipange, kishindo kitakachofuata ni kikubwa lazima jamaa anaandaa makaburi mawili kabla ya kulipa kisasi.
Kwa taarifa zaidi mtafute Arafat NgumiJiwe.
Dah!Uzuri mmoja kule naonekana mara 1 kwa miezi kadhaa na ni mara chache sana natembeaga kwa miguu. Ila wanananijua maana kuna kipindi nafanya mazoeziyangu ya mchaka mchaka nilikuwa navaa kanzu yangu jeupe na mkanda mweusi kiunoni na nakimbia peku hivyo kuna wanaonijua kwa kuniona ila hawana la kunifanya
Hahaa harikaa...Yani unavaa kanzu na black belt...!!πππ..apo lazima waogopeUzuri mmoja kule naonekana mara 1 kwa miezi kadhaa na ni mara chache sana natembeaga kwa miguu. Ila wanananijua maana kuna kipindi nafanya mazoeziyangu ya mchaka mchaka nilikuwa navaa kanzu yangu jeupe na mkanda mweusi kiunoni na nakimbia peku hivyo kuna wanaonijua kwa kuniona ila hawana la kunifanya