Mpenzi wangu alinitafuta sana hadi akakata tamaa. Baada ya hayo yote nilimpigia mpenzi wangu kumweleza yaliyonitokea lakini hakuamini na aliniambia wazi kuwa namdanganya. Nilijaribu kumwelewesha akawa hanielewi. Baada ya kuona hivyo nilijikuta namuongelesha kwa hasira na ukali uliomfanya akakata mawasiliano. Hadi leo ninavyoandika simu yake haipatikani wala humu Jf simuoni tena. Nimejaribu kuPM lakini inaonekana alishabadisha ID yake.
Angel Msoffe nikifanya hivyo ni sawa na kuweka siri za chumbani hadharani.Weka id yake yazamani hadharani nikwambie id yake mpya pa kumpata.
me nimekuzimikia kisukari....naomba nafasi kwa mtima wako:A S-heart-2:hee,kumbe mapenzi jf yapo?nilikuwa sijui,maybe ipo siku na mimi nitapata wangu humu.hongereni na ujumbe ameshaupata,maybe ameshapata mwengine jf.si unajua tena mambo ya jf,kila mtu anatafuta mchumba.seriously,mimi siamini mapenzi ya humu,maybe i'm wrong,pole kijana kwa yaliyokukuta.na bi shost msamehe,mwenzio unamuumiza.mpaka anakutafuta live humu,ujue anakupenda
Ujumbe keshaupata kama yumo humu. Lkn ulishindwaje hata kumjulisha week zote mbili hata kama ulikuwa rumande???.
Easymutant kwao sipajui kwani ndo tulikuwa kwenye harakati za kwenda kwa wazazi kutambulishana.Dah! Na hizi penssion hadi 55-60 baba kazi unayo! Kama unapajua kwao funga safari usiogope!