Hapo mkuu mwenyewe sikuwa na jibu sahihi,ila wanavyosema wao kile kitendo cha kula mayai ya mamba ni kinga tosha,kwa hiyo logic ninayopata,hata akihamia mtu wa kabila jingine,akianza hako katabia,atakuwa easily identified na hao mamba.swali ni hao mamba wanajuaje huyu mtu ni mla mayai ya mamba?,hapo jibu sina ila habari ndo hiyo.Mkuu! Habari yako inanipata utata kidogo....mamba anawezaje kutambua kama mtu huyu ni Msagara au sio? Hebu dadavua wanavyojitofautisha ili habari iwe imetulia.
Hapo mkuu mwenyewe sikuwa na jibu sahihi,ila wanavyosema wao kile kitendo cha kula mayai ya mamba ni kinga tosha,kwa hiyo logic ninayopata,hata akihamia mtu wa kabila jingine,akianza hako katabia,atakuwa easily identified na hao mamba.swali ni hao mamba wanajuaje huyu mtu ni mla mayai ya mamba?,hapo jibu sina ila habari ndo hiyo.
CHAKACHUA NI CHAKACHUE NA KUMWAGA PWAAA!Nilikutana na watu wa kabila la wasagara maeneo ya ruaha mbuyuni.Hawa watu shughuli zao kuu ni uvuvi katika mto ruaha.Mto ruaha una mamba wengi hatari.Kitu wanachofanya wasagara ni kula mayai ya mamba na wakimkamata mamba basi wanaufanya mkia wake kitoweo.Kutokana na tabia hii,mamba akikutana na msagara awe mtu mzima au mtoto,huogelea kwa spidi ya bomu la majini(torpedo) kumkimbia msagara kuepuka kugeuzwa msosi.Cha ajabu ukienda mtu wa kabila jingine ambaye si mwenyeji,hawa mamba hawakuachi lazima wakuharibie.