Habar wana jf,
Huwa najiuliza kila mara jibu huwa cpati,kwamba demu wako kila akitongozwa anakwambia huonesha kwamba anakupenda sana? au huwa tayari amekubali anaweka mazingra kwako endapo ukimwona na huyo jamaa ucwe na jambo lakuwaza sana,maana alikwambia alishamkatalia
Wajinga ndiyo waliwao, ngojea kupachikiwa na mimba kabisa..................!:confused2:
Kwani we unaitafsiri vipi?
mi yaweza kuwa na maana hizi:
1.anakupa ujumbe usijione wewe ndo wewe wanaompenda ni wengi..
2.anakuwekea mazingira flani ili siku ukiona isiwe ishu tayari taarifa ulikuwa nayo so nothing btn them anamtokea tu ila ye hamtaki
3.kujijengea hali ya wewe umuamini n.k

EVELYN ze way ninavyoona ni kwamb katka post yako kuna ukwel fulani umeuweka lakin hutak kuwa waz,inaonesh kuwa hpa inawzkana kabsa ikawa unataftwa uhalal wa uchakachz
Ukweli upi tena wauhitaji...
kwa nionavo mie hiyo yawezamaanisha moja kati ya hayo au isiwe hivo pia!!!!
mara nyingi wasichana wakitongozwa usema kwa wale wasiowapenda
bt kwa wale wanaowapenda uwa ni kimya kimya.
wanasema ili:-
1. waonekane ni waaminifu so ata ukija kumkuta na mshua mwingine hautafikiria vibaya utachukulia simpo kwa kuwa uwa anawakataa.
2. usijeona kuwa hapendwi na wengine (kaa chonjo usijenizarau)
Hao walofundwa ndio wabaya zaidi hata haya hawaoni....
Hakuna fomula mkubwa aseme asiseme yale yale tu. Anayesema anatafuta namna ya kukueleza siku ukimfuma au kweli wote huwa anawakataa, na asiyesema anayafanya mambo yake kwa siri sana au hafanyi kabisa. So there is no formula. We kaa muamini mwenzio.... And by the way, usije ukajifanya kuutafuta ukweli wa akifanyacho mwenzio wakati huna uwezo wa kuyafanyia kazi matokeo.... YAANI UKAISHIA KUMWACHIA MUNGU. Raha ya maisha ya mapenzi ni kuaminiana, na kama humuamini fanya uchunguzi na uhakikishe matokeo ya uchunguzi unayafanyia kazi.Habar wana jf,