Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

Du
Duh
 
Mshimshike wa uchaguzi wa juzi tu mzungu yupu kasahau hadi ampe cheo hiko
 
Kwa nilicho sikia ni mama anaitwa Helen Clark
Ambaye ndie mwenye chance kubwa ya kuchukua hii top job.

Namkubali sana Mh Kikwete namwombea aipate hiyo nafasi. Yeye ndio mfano kwangu
 
Kikwete kafanya mengi makubwa na mema Tanzania hii kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

Wenye kufikiri japo kiduchu wanaliona hilo lakini mahasidi wao kila jema kwao ni baya.
Ni kweli amefanya mengi mazuri, ila alikua dhaifu kwenye usimamizi wa jumla wa serikali
 
Haya ni miongoni mwa mabo yanayonifanya niwaone wafuasi ya ccm walivyo maboya!!
 
Kwanza amalize ya Zanzibar ndio tutamuona jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…