Manara kasema wanauwezo wa kumnunua mchezaji yeyote wanayemtaka pale Mazembe, hata mputumnahela?
[emoji375][emoji375]
Tutachangishana kama bakuli fcmnahela?
[emoji375][emoji375]
Wewe bakuli fc mambo ya simba yanakuwasha nini...mukiona thread ya mume wenu simba lazima muishobokeeKuna Mwamba wa Lusaka,Kagere,Okwi,Bocco,Niyonzima mliwapa misifa mingiiii leo hii mnataka kikosi kifumuliwe na kile kipana vp
Sent from Nokia 7 Plus
ok fanyen haraka sasaTutachangishana kama bakuli fc
Humjui vizuri muwekezaji mfanyabiashara Mo Dewji...jitingishe kusema Simba mmepata hela toka CAF na pia ni Kampuni.Hela si tumepata kutoka CAF..baada ya kufuzu makundi na robo fainali.. Alafu pia Simba ni kampuni.
Nakubaliana na ww kutokukubaliana, naomba nisaidie kitu ili utoe solution ya tatizo baada ya hao unaotaka waachwe je ni mchezaji gani wa ndani au nje ya mipaka yetu ungependa asajiliwe??Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji..bechi LA ufundi na uongozi kwa ujumla wake.. Robo fainali ni hatua kubwa sana . kwa mm naona bora tumetolewa kwani hata kama tungeshinda mbeleni tungepata aibu kubwa zaidi.uwezo wa wachezaji wetu wengi ni mdogo sana kwa levo ya kimataifa .. Hawana uwezo wa kukaa na mpira..hawana kasi..hawawezi kukaba .. Pia hawana nguvu..kuanzia beki line . viungo mpaka washambuliaji.. Kwa mm anaestaili kubaki kikosi cha kwanza ni Aishi manula. Elasto..niyonzima..Chama..kagele..na kapombe. Wengine warudishwe kikosi cha pili na baadhi waachwe kabisa..mechi ya Jana viungo vilikufa kabisa MTU kama mkude hakutakiwa kumaliza mechi.
Wakigeni wa kuachwa.. Juko murshidi..Giani..coulrybali..kwasi..kotei..okwi . wa ndani salamba..mohamedi Ibrahim..ndemla..bukaba,, mlipili..ally saleh...na yule alieingia Jana mwenye mbio nyingiNakubaliana na ww kutokukubaliana, naomba nisaidie kitu ili utoe solution ya tatizo baada ya hao unaotaka waachwe je ni mchezaji gani wa ndani au nje ya mipaka yetu ungependa asajiliwe??
Japo mm naomba wafuatao waachwe kabisa Gyan, kwasi, mo Ibrahim, Ndemla, mzamiru, Salamba, Okwi ,Wawa.
Halafu atafutwe mbadala wa mkude, mbadadala wa okwi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye mbio nani Rashid Juma?? Km ni huyo abaki ksb bado mdogo na kwa baadaye atakuja kuwa mzuri ksb hana uzoefuWakigeni wa kuachwa.. Juko murshidi..Giani..coulrybali..kwasi..kotei..okwi . wa ndani salamba..mohamedi Ibrahim..ndemla..bukaba,, mlipili..ally saleh...na yule alieingia Jana mwenye mbio nyingi
Bakuli n chombo chenye heshima sana hapa Duniani,maana ina kaz nyingi sana mkuu.Wewe bakuli fc mambo ya simba yanakuwasha nini...mukiona thread ya mume wenu simba lazima muishobokee
Kwa Manula umekosea sana, huyu ni kipa mbovu sana na stars walimtumia afcon tutafungwa sanaKwanza kabisa niwapongeze wachezaji..bechi LA ufundi na uongozi kwa ujumla wake.. Robo fainali ni hatua kubwa sana . kwa mm naona bora tumetolewa kwani hata kama tungeshinda mbeleni tungepata aibu kubwa zaidi.uwezo wa wachezaji wetu wengi ni mdogo sana kwa levo ya kimataifa .. Hawana uwezo wa kukaa na mpira..hawana kasi..hawawezi kukaba .. Pia hawana nguvu..kuanzia beki line . viungo mpaka washambuliaji.. Kwa mm anaestaili kubaki kikosi cha kwanza ni Aishi manula. Elasto..niyonzima..Chama..kagele..na kapombe. Wengine warudishwe kikosi cha pili na baadhi waachwe kabisa..mechi ya Jana viungo vilikufa kabisa MTU kama mkude hakutakiwa kumaliza mechi.