Kijana amepotea Dodoma Mjini

Status
Not open for further replies.

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,624
Reaction score
1,202
Habari za leo wandugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jina: Amedeus Apolinary Masawe
Umri: Miaka 14

Siku ya mwisho alikuwa amevaa track suit ya kijivu na mistari myeupe pembeni, t shirt ya rangi bluu na viatu rangi nyeusi.
Mahali anapoishi na wazazi wake ni Njedengwa, Dodoma.

Amepotea kutokea tarehe 13 Dec 2021 alipotoka tuition eneo la Uhindini Dodoma mjini.
Yeyote atakayemuona tafadhali toa taarifa kituo chochote cha polisi kilicho jirani au piga simu namba
0683931774 au 0786826173
Naomba tusaidiane kusambaza katika maGroup mbalimbali ya mtandaoni.
Naambatanisha picha yake.



UPDATES
 
Nawashukuru nyote kwa ushirikiano wenu. Dogo amepatikana. Alipotoka tuition akaamua kwenda kuzurura na kushangaa ktk eneo ambalo wanatengeneza mwendo kasi. Jioni akajikuta amepotea akaomba hifadhi kwa mlinzi. Kesho yake mlinzi ndio akamsaidia kufika nyumbani.
Asanteni sana
 
Pole sana mzee dgo yupo salama lakn?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Jambo la kumshukuru Mungu kama amepatikana akiwa salama maana dunia siku hizi imebadilika sana. Hongereni
 

Shukrani sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…