kweli lakini uyo kifesi akiri hanaNi kwamba amefukuzwa!!
Huwezi kuingilia mahusiano ya bosi wako tena unamtoa akili kwenye mitandao ya kijamii,utafikiri huyo Zari alimkuta Bikira?!?!
Yeye Kasema ameacha kwahiyo tunasimamia hapo hapo kwamba YEYE NDIO AMEACHA.......Kama Ameachishwa basi WCB ndio waseme na sio huyo ESMA MLEA MARIOO.uyo jama shenzi type kweli kaingilia love life ya boss wake Diamond .. kabla ata hajafukuzwa rasmi ...kakimbilia instagram kuwadanganya watu eti ameacha kazi ... kwani kuachishwa kazi si kawaida tu ...why uyo brother yake harmorapa ana danganya watu ...... [emoji33] [emoji23] [emoji41] [emoji31] [emoji23][emoji51] [emoji28] [emoji15] [emoji12] [emoji6]
kauli ya boss inahitajikaYeye kasema ameacha na bosi wake hajapinga. Shida iko wap?
Umenena vyema.Yeye Kasema ameacha kwahiyo tunasimamia hapo hapo kwamba YEYE NDIO AMEACHA.......Kama Ameachishwa basi WCB ndio waseme na sio huyo ESMA MLEA MARIOO.
Mleta mada katimiza vigezo vyote vya kuitwa kilaza.Yeye kasema ameacha na bosi wake hajapinga. Shida iko wap?