Msuva ni mwanariadha hawezi mshauri chochote mwanasoka kama Kichuya ..Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.
Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Msuva ni mwanariadha hawezi mshauri chochote mwanasoka kama Kichuya ..
Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.
Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka....
Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud.
Bila kuhoji ww ni mshabiki wa yanga jutaidi..Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.
Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.[/Kati QUOTE]
Kati ya Idadi ya Magoli na Mbio wewe umeona Mbio tu. Rage hakukosea kwa kweli.
Kati ya Idadi ya "Magoli yake ya misimu 2 mfululizo" na "Mbio zake" wewe umeona Mbio tu. Rage hakukosea kwa kweli.Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.
Wageni wa kuuza mchezaji utawajua tu,ushamba hauishi kwao, si mlikuwa hamtaki aondoke nyinyi Gongowazi bhana.Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.
Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Ile tafsiri ya umbumbumbu imekufaa kabisa. Unasema?Kichuya ni kiungo na msuva na mshambuliaji unalinganisha magoli!
Huy dogo ana kipaji cha hali ya juu sana na ana potential kubwa mno. Kama amecheza msimu mmoja tu Simba ambayo ilikuwa haishiriki michuano ya kimataifa lkn tayari kaonekana, akicheza hata mechi 10 tu za Afrika anaweza kuuzwa mbali zaidi
Walcot.Bale...Msuva wa ulaya usifananishe na vimbilikimoMsuva ni mwanariadha hawezi mshauri chochote mwanasoka kama Kichuya ..
We jamaa muongo sana! Raphael Daudi alikuwa na magoli 8 ya VPL wakati Kichuya alikuwa na 11, wakati mwingine uwe unaona AIBU kuleta ushabiki maandazi
Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka....
Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud.
Lile bao lilikua classic Ndio maana unalifanyia rejeaHivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.
Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
sasa hapo tofauti ya magoli mawili ndio inayokukwaza?We jamaa muongo sana! Raphael Daudi alikuwa na magoli 8 ya VPL wakati Kichuya alikuwa na 11, wakati mwingine uwe unaona AIBU kuleta ushabiki maandazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile bao lilikua classic Ndio maana unalifanyia rejea
Cha kushangaza sio wa kwanzayeye kufunga bao kama lile VPL?
Hakika wewe ni MBUMBUMBU.... Kichuya ni Kiungo.... Msuva ni mshambuliaji..... Winger amekuwa mshambuliaji... Kichuya si ni Winger tu kama Msuva.....Kichuya ni kiungo na msuva na mshambuliaji unalinganisha magoli!