Kibali cha ujenzi

Write your reply...hizi process ndefu sana@Alvajumaa,yani nataka kujenga kabanda kangu ka kawaida tu ndo nenda rudi zote hizo?,na hapo unatakiwa uvae shati la mikono mirefu ile process ziwe fasttracked vinginevyo inachukua miaka hata kumi unafuatilia kibali tu,bora kujenga afu uje ulipe faini tu
 
Huwa nashangaa kwelekweli urasimu huu wa kijinga na kipuuzi sana. Angalia mlolongo wa sehemu zote hizo unazopaswa kupitia na kila sehemu ukipita lazima pesa ikutoke!
Bahati mbaya sana yote uliyoyaeleza hapo juu mkuu ni yakweli kabisa, vibali vya ujenzi n ulaji kutokana na urasimu uliopo kwenye kuvipata
 
Unaweza ukabomolewa nyumba yako
 
Wenye mioyo safi wanafanya bure tuu, ila pale manispaa hela itakutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata taratibu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapewa kibali ama go ahead ili uendelee na ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye mioyo safi wanafanya bure tuu, ila pale manispaa hela itakutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Miyo safi kwa hao viongozi wetu wa Serikali za mitaa wasiokua na mishara wala posho rasmi za kujikimu?! Ingawa wao siwalaumu sana kwani hata pesa wanazochukua ni kidogo tu ingawa sio rasmi!

Ninachoona kama ni dosari ni huo mlolongo wa kupitia kabda ya kufika kwa mhandisi wa Halmashauri. Ukiangalia wengi kati ya hao unapopita ni wanasiasa tu na hapakua na sababu ya kuwaingiza katika mchakato wa kitaalamu wa kutoa vibali vya ujenzi

Na ukifika Halamashauri lazima pesa ikutoke, vinginevyo utazunguushwa hadi uchoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…