Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,739 Sep 3, 2014 #2 ujumbe aliokusudia umefika ingawa amekosea kuandika
B BBen2 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 376 Reaction score 90 Sep 4, 2014 #3 Shule wanaikimbia wakati mwingine inasaidia. Sasa alie andika na yeye ni walewale. Na mwenye bajaji hali kadhalika. Labda ana maana nyingine. Baada ya pumzika kwa amani.
Shule wanaikimbia wakati mwingine inasaidia. Sasa alie andika na yeye ni walewale. Na mwenye bajaji hali kadhalika. Labda ana maana nyingine. Baada ya pumzika kwa amani.
M Mwanamdodo Member Joined Jun 20, 2012 Posts 65 Reaction score 26 Sep 4, 2014 #4 Bben2 nawe shule yako inashaka. Ulimaanisha baada ama badala? Kiswahili mzee nni shidaaaaaaa kuzidi hii lugha iliyokuja kwa majahazi na ndege! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Bben2 nawe shule yako inashaka. Ulimaanisha baada ama badala? Kiswahili mzee nni shidaaaaaaa kuzidi hii lugha iliyokuja kwa majahazi na ndege! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,669 Sep 4, 2014 #5 tatizo kusikia maneno bila kujua yanaandikwaje