jMali
Duh...mwaka huu jmali utatokwa povu mpaka ufe kuhusu rwanda yani nyuzi zako ni rwanda tu sijaona za kitanzania.
Huyo ni Specialist of Rwanda Conflict Revival. Nimempa sifa hiyo kwa sababu makala/nyuzi zake hazina hata chembe ya reconciliation...zimejaa 'ill Motive' toward waafrika wa Rwanda. Nilitarajia aongeze nguvu kuleta mshikamano nchini humo lakini wapi...yumo to kukwangua vidonda vinanavyoelekea kupona vilivyotokana na mauaji ya kimbari nchini humo.
kama ndio hivyo basi wewe na timu yako ni PR specialists wa kagame. Kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa vidonda vya wanyarawanda bado vibichi na anayevikwangua si mwingine bali kagame. Unamfungaje mtu kwa kuhoji "mbona wenzangu hawakukumbukwi?", unadictate vipi memory za watu kuwa "waliouliwa ni watutsi tu"? hivi unategemea mhutu aliyepoteza familia ajisikie vipi, especially given the fact kwamba anayelazimisha hivyo ndie muuaji mwenyewe?