Salama wana jf,
Natafuta mtu ambaye ataweza ku manage Hotels, Bar, Restaurants, Private Companies, NGO's, Embassies etc.
Awe anauzoefu wa kuuza katika nyanja ya vyakula au vinywaji.
Awe tayari kutumia pikipiki au kama ana gari yake basi tuta compasate mafuta na service
Mahala pa kazi ni Dar es Salaam ila anaweza kuwa anasafiri mikoani
Ni kazi inayomulazimu muhusika kutokaa ofisin, full time in field.
mshahara 1,000,000.00 kwa mwezi pamoja na airtime
kama ana gari nampa 800,000.00 halafu 200,000.00 ina compasate mafuta
tuma cv HARAKA kwa
sales@leotz.com
jamani mi binafsi siamini katika vyeti maana usanii ni mwingi, so haijalishi unaelimu kiasi gani cha msingi uweze kuongea na kujieleza kwa kiingereza vizuri