Sasa wewe Ms. financial services naona unanichezea tu akili. Umenigandisha hapa toka majuzi nikijuwa unakuja kumbe mwenzangu ndiyo kwanza umelala nyumbani fofofo. Sawa tu, Mungu anakuona😡