Kesho kuna tamko LA kutaka aachiwe

East African

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
704
Reaction score
995
Kesho au kesho kutwa kuna tamko litakalowataka wamuachie mwandishi ili kuwaonesha wananchi kuwa hakuna udikteta.
So hii kitu imetengenezwa kimkakati zaidi kufuta hisia za wananchi kuwa hakuna Uhuru.
Keep waiting
 
usiniambie Mkuu
duuhhh Hawa Jamaa bhana kweli watu wazee wa kick
ngoja tuone hili movie
 
Wanatengeneza tatizo wenyewe na kulitatua ili kupata kiki..
 
Kiki zao ipo siku zitawakikisha out
 
Yote yawezekana... Ngoja tuone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…