Brown kulax
Member
- Oct 20, 2019
- 17
- 8
Ungepanda uba tuSitasahau siku nipo fire station nasubir gari za kwenda moròcco nikiwa na nia ya kwenda tu kinondoni nilsubir zaid ya saa nzima. Nilipotaka kuondoka nichukue taxify ndo likaja daah hakika huu usafir unakero sana.
Wenzetu ujeruman wanao mradi wa tren inayoninginia kwa zaid ya miaka 100 sasa na inaperfom tu vizur, sisi huu mrad sidhan ata miaka 10 haujamaliza. Hiv nan ameturoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha na utaratibu mpya wa kuchana tiketi..sikuhizi hata notification za kituo kinachofuata hazipo tena..sasa kwa wageni sijui ndo mambo ya kuuliza abiria wenzio..vinginevyo utapitiliza kituo...mbona tulianza vzr tunakwama wapi sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ishu nyingine ni kuhusiana na mifuniko ya juu kwenye mwendokasi huwa hazifunguliwi ili kupunguza hali ya joto ndani kiasi kwamba abiria ni wengi kupita maelezo na joto linakuwa jingi sana.Kumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.
Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.
Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?
OkayKumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.
Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.
Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?