M mpendachake Member Joined Feb 26, 2015 Posts 17 Reaction score 3 Aug 3, 2015 #1 Salaam kwenu nyote Jf, Kiufupi hii ni kero kutokana na shirika hili la umeme kukata kata umeme takribani ni mwezi huu kuanzia SAA 3 asubuhi hadi saa 12 jioni huku Makambako mkoani Njombe sijui huko kwenu wadau hali ikoje. Asanteni
Salaam kwenu nyote Jf, Kiufupi hii ni kero kutokana na shirika hili la umeme kukata kata umeme takribani ni mwezi huu kuanzia SAA 3 asubuhi hadi saa 12 jioni huku Makambako mkoani Njombe sijui huko kwenu wadau hali ikoje. Asanteni
born to win JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 561 Reaction score 168 Aug 3, 2015 #2 Dawa yao wanatakiwa wapate wapinzan wao