Hehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.Serikali Tz inapaswa ihalalishe bangi, hemp ina faida mingi ukiondoa smoking, na ni biashara nzuri.
Hehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
Ile bangi mbona ipo sana huko, wateja milioni na maushee pande iyo, watu wanatusua maisha wanauza iyo mambo, wanasomesha, maisha yanasonga poa, nashangaa serikali inabania, wakihalalisha watainua uchumi wa raia wengi.
Alafu trust me, iyo mmea ndio inaleta calmness kwenyu manyang'au, maana bila iyo na miraa, basi kila mtu angekuwa na kipande chake cha nchi. Huoni vile Uhuru yupo gentleman, basi tu watu hawamsomi jamaa na amekutana na changamoto kubwa saa hii.
Mkuu,Ile bangi mbona ipo sana huko, wateja milioni na maushee pande iyo, watu wanatusua maisha wanauza iyo mambo, wanasomesha, maisha yanasonga poa, nashangaa serikali inabania, wakihalalisha watainua uchumi wa raia wengi.
Alafu trust me, iyo mmea ndio inaleta calmness kwenyu manyang'au, maana bila iyo na miraa, basi kila mtu angekuwa na kipande chake cha nchi. Huoni vile Uhuru yupo gentleman, basi tu watu hawamsomi jamaa na amekutana na changamoto kubwa saa hii.
Dah! Leo umeandika insha, sijakuzoea hivi, lazima utakua umepiga moshi wa hicho kifaa au umetafuna majani ya kutokea Ameru ya Kenya.
Mkuu,
Kama vile nakuona, ni wachache tunaweza kuelezea ubora wa kitu namna hii inabidi watu wa advertisement na marketing wakuchukue au hata task force ya miraa wakufanye member wa 15.
Hahaha!Hoshea jombaa,nipo aisee.Tena niko gombaa mbaya,siwajua wikendi ndo hii,afu nipo Timau,Meru county siunajua miraa inatoka Meru,Kenya?Hamna kitu kama rais U.K ku'consider' chochote.Wiki mbili sasa zimepita tangu miraa itambulike kama 'cash crop' hapa Kenya.Hii ni baada ya mswaada kuhusu miraa kupitishwa bunge na rais akatia sahihi.Inamaanisha mirungi,kahawa,majani chai na kadhalika zipo kwenye kikundi kimoja,'cash crops',si madawa ya kulevya tena!Alichofanya U.Kenyatta ni kuendeleza mikakati inayofatwa kwenye ukuzi na uuzaji wa mimea kama kahawa na majani chai.Kama mirungi ni madawa ya kulevya,sidhani ningeweza kandika nilichopost na nikaeleweka!Nimechana mirungi kutoka saa kumi,kumbuka.Eeh haina shida, marketing tu, ila me miraa situmii, nakulaje majani kama mbuzi aise. Pingli nywee ndio mdau wa gombaa. Nywee! Where you at, naona Raisi wenyu anawaconsider.
Kweli wewe chizi bangi ya tarime soko ni nairobi sasa sijui unasema bangi ipi.Hehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
Mtoto wa Kenyata anavuta BangiHehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
Mtoto wa Kenyata anavuta BangiHehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
Mbona hujaeleweka hata hivyo!!!Hahaha!Hoshea jombaa,nipo aisee.Tena niko gombaa mbaya,siwajua wikendi ndo hii,afu nipo Timau,Meru county siunajua miraa inatoka Meru,Kenya?Hamna kitu kama rais U.K ku'consider' chochote.Wiki mbili sasa zimepita tangu miraa itambulike kama 'cash crop' hapa Kenya.Hii ni baada ya mswaada kuhusu miraa kupitishwa bunge na rais akatia sahihi.Inamaanisha mirungi,kahawa,majani chai na kadhalika zipo kwenye kikundi kimoja,'cash crops',si madawa ya kulevya tena!Alichofanya U.Kenyatta ni kuendeleza mikakati inayofatwa kwenye ukuzi na uuzaji wa mimea kama kahawa na majani chai.Kama mirungi ni madawa ya kulevya,sidhani ningeweza kandika nilichopost na nikaeleweka!Nimechana mirungi kutoka saa kumi,kumbuka.
Kavute majani,utanielewa tu.Mtoto wa Kenyata anavuta Bangi
Kenyata mwenyewe mvuta bangi
Mbona hawajawa machizi
Mbona hujaeleweka hata hivyo!!!