Mwendo ni piga ua....nyie endeleeni na mchakato wa kujenga vyooo elfu moja!!dar to mwanza#hapachoootuMkuuu kenya ni world superpower naskia mmeongezwa nafasi g8 sasa inaitwa g9 hongereni
Halotel ndio nini hapa africa mashariki? Kampuni ya mkorogo ama??Even on coverage Safaricom does not fare better compared to Halotel newest entrant in the region.
In tz naskia kampuni ya tigo ni kilio tu, walidhani ndio watashinda!! Pole zao kwa kweli tunajua inauma lakini hamna jinsi...As expected.....Yippy!!
Sawa wakuu nyinyi kwa masifa sijaona hongereni manyang'au naskia mnajiita mayahudi weusiMwendo ni piga ua....nyie endeleeni na mchakato wa kujenga vyooo elfu moja!!dar to mwanza#hapachoootu
Aa wapi with internet bundles price highest in the region, u can't convince a smart person like me![/QUOTE
Smaaart????Jeeez......The meaning of smart has changed meaning from today
Sawa wakuu nyinyi kwa masifa sijaona hongereni manyang'au naskia mnajiita mayahudi weusi
Mwendo ni piga ua....nyie endeleeni na mchakato wa kujenga vyooo elfu moja!!dar to mwanza#hapachoootu
Sawa wakuu nyinyi kwa masifa sijaona hongereni manyang'au naskia mnajiita mayahudi weusi
Unajua lkn halotel vzr boss au unabishana tuhakuna sifa mkuu, FACTS umewekewa hapo, jamaa mwingine naona ankuja na vijikampuni vya juzi akisema 95% penetration, nyie vichekesho tu.. maneno mengi, actions nil. na hiyo ya wayahudi naskia na wewe, mlianza kutuita lini hivyo nyie waswahili?
Me kitu ninacho jua ni balotteli tu [emoji23] [emoji817]Unajua lkn halotel vzr boss au unabishana tu
Unajua lkn halotel vzr boss au unabishana tu
Wapi bana, bora hata utaje Voda maana binafsi nimejaribu hiyo Halotel kero tupu. Nilifuata mkumbo kisa watu wanaisifia nikaishia majungu. Ofa ya 5,000Tshs 1,300MB halafu muda mwingi ipo chini, kwa siku tatu napata ujumbe eti sina salio.
Yaani Bongo Voda tu basi, wengine hao wote zero, hata Tigo ndio usitaje kabisa.