Jirani zetu wanachangamkia tenda, sisi bado tunakoroma usingizi mzito, lini tutaamka ? Sasa wanataka kugawana msosi na wahindi kwenye call centres.......soma mwenyewe link hiyo http://www.bbc.co.uk/news/technology-12004815 Hata Rwanda hawakulala. Ivi ni lini viongozi wetu wataacha kun'gan'gania na kupeana madaraka wasioyaweza na kuendelea kuididimiza Inji hii ? CCM WACHENI UBINAFSI TUNATAKA KATIBA MPYA YENYE KUKIDHI MAHITAJI YA WOTE... LA LEO LIFANYWE LEO, SIO KESHO !!!! :angry: http://www.bbc.co.uk/news/technology-12004815