Falconer kama TZ ni taifa la kubuni, Kenya sio taifa ni mkusanyiko tu wa watu, na aliye na nguvu ndie anayejilimbikizia mali. Tofauti yenu na somalia ni kuwa wazungu wana maslahi mengi na hawawezi kuruhusu yapotee, la sivyo mzee, sijui mngekimbilia wapi?