Hao jamaa akili zao zipo miguuni, wao ni mbio tu hakuna kingine wanajua!
Kabisa.Kama kawa kama dawa.
Hii Dunia Mungu amebariki watu tofauti - wengine akili, wengine sura, wengine nguvu ya kufanya kazi wengine talanta etc. Tofauti ya Kenya Na Tz, Wakenya wanatumia Baraka zao to the maximum. Nyie ni domo tu.Hao jamaa akili zao zipo miguuni, wao ni mbio tu hakuna kingine wanajua!
Bora utajike kwa kitu walau kimoja, sasa nyie tumewazidi kwa elimu, kiuchumi, teknolojia, kijeshi na kila kitu, kazi yenu mdembwedo tu na kuvaa milegezo mjini.
Mmetuzidi kwa idadi ya Wahindi an Wazungu tu ambao ndo wanashikilia Uchumi wa Kenya, hata uwepo wa Wazungu na Wahindi siyo juhudi zenu bali walikuja wenyewe!
Ukiondoa Wahindi na Wazungu Kenya hakuna mlichotuzidi, living standard ya Mkenya mweusi kama mimi na ya Mtanzania hakuna tofauti!
Akili yako iko kwenye Instinct mode kama mnyama hivi yani kula, kutompana na kuzaa..(survival mode chipsi mayai).Hao jamaa akili zao zipo miguuni, wao ni mbio tu hakuna kingine wanajua!
Haha kutompa.. wahaula nimecheka kweliAkili yako iko kwenye Instinct mode kama mnyama hivi yani kula, kutompana na kuzaa..(survival mode chipsi mayai).
Sio kweli maana tumewazidi kwa vitu kama literacy rate, HDI index na mengine mengi...yaani tumewazidi kwenye kutumia akili na pia kwenye kutumia nguvu.
Hahahaha!!!😀😀😀Akili yako iko kwenye Instinct mode kama mnyama hivi yani kula, kutompana na kuzaa..(survival mode chipsi mayai).
Wahindi kama akina Bakhresa na Mohammed Dewji hivi huh?Labda Muzungu na Muhindi wa Kenya ndo wametuzidi lkn siyo hawa wakimbiaji!
RKO! No come back.Wahindi kama akina Bakhresa na Mohammed Dewji hivi huh?
Sio kweli maana tumewazidi kwa vitu kama literacy rate, HDI index na mengine mengi...yaani tumewazidi kwenye kutumia akili na pia kwenye kutumia nguvu.
CAG ametamka kwa mdomo wake hakuna hela iliyopotea. Wenzetu hata swali hamtaki kuuliza, Euro bond $2 zilienda wapi?sio Laki wala Millioni, ni Bilioni. Duh!!!1.5tr naomba kamgao maana sisi tunapenda pesa.
CAG ametamka kwa mdomo wake hakuna hela iliyopotea. Wenzetu hata swali hamtaki kuuliza, Euro bond $2 zilienda wapi?sio Laki wala Millioni, ni Bilioni. Duh!!!
CAG amekula kiapo cha utii na uaminifu. Akitolea taarifa za uwongo au kupotosha umma ni kosa la jinai.Kwani ni kazi ya CAG kubaini kama hela imeibiwa au la, sasa kama mnamsimamisha mbele ya watu na kumuuliza kama hela imeibiwa, unategemea aseme nini. Japo media zenu ni bongolala, za kwetu hukokotoa mpaka tunahitimisha kama kweli tumeibiwa au la, nyie mpo mpo tu.