Kidomodomo cha akina Manzi wa Nairobi,Doule ,Kindiki kinamponza UK,naamini wangekaa kimya yote hayoyasingetokea,sijui hawa watu ni wagumu kuelewa ''kimya'' kinasaidia wangejifunza kutoka kwa akina Muthaura,Ali naMzeewa Nandi.Kujipiga kwa kifua hakusaidii kwani masaibu hayampati Duale & Co bali ni UK na familia yake hao ndio watapata machungu ikifika siku ya siku.Siajabu mambo yakienda mabaya hao akina Duale &Co utawasikia wako CORD wakila bata,kwani si Duale ,Shabeshi wametoka wapi,UKwanayempigia nduru wameanza naye majuzi tu,hao wote walikuwa walamba viatu wa RAO