Kweli. Ingawaje nimeelewa kilichosemwa, inabidi wazitafsiri kwa lugha yetu, kwa manufaa ya wengi. Mfano ingekuwa imeandikwa kwa kijerumani, kichina, kifaransa, kiserbia wangeitasiri kwa kiswahili. Vivyo hivyo hii habari ilipaswa kutafsiriwa kwenye kiswahili kwa sababu ni lugha ya wanyamahanga.
Nendeni British Council mjifunze lugha; huyo mkalimani mtalipa nyinyi?
Basi hao hawajalengwa.. Wakae watulie. Maana hapa tunaambiwa "Whrrr we Dare to talk Openly" lakini hawajawahi kuomba tafsiri yake wakavamia na kutengeneza account tuu..Lugha ni nyenzo cha mawasiliano kwa jamii inayolengwa, kuzunguka. Lakini kuna watu wengine bado mnadhani kuwa lugha ni kielelezo cha elimu aliyonayo mtu. Sivyo. Mnashindwa kujiuliza kwa nini wanyamahanga toka magharibi wanakuja Afrika kujifunza kiswahili, Kisambaa, kigogo,Kisukuma, kindengereko, kimasai, kinyaturu etc.
Juu ya mkalimani. Kuna habari nyingine hapa JF zinakuwa originated toka lugha kama Kijapani, Kichina zinachapishwa zikiwa zimeshatafsiriwa kwa nini hii isitafsiriwe ili ielimishe wengi.
Basi hao hawajalengwa.. Wakae watulie. Maana hapa tunaambiwa "Whrrr we Dare to talk Openly" lakini hawajawahi kuomba tafsiri yake wakavamia na kutengeneza account tuu..
Basi hao hawajalengwa.. Wakae watulie. Maana hapa tunaambiwa "Whrrr we Dare to talk Openly" lakini hawajawahi kuomba tafsiri yake wakavamia na kutengeneza account tuu..
Are you sure he killed all those people? In my opinion the police did not find the real killer.I Think His Mind Is Not Normal
Kwa nini usijifunze Kiingereza?
Wewe unaweza kuletewa chakula halafu ukalalamika "kwa nini hunilishi?".