Ndio nawashangaa hawa ambao wanaonea dili lenyewe kijicho. Wakenya wanachangamkia hizi fursa bila mzaha. Ila watu wa gatuzi la Mulang'a na lafudhi yao ya kijapani wanatufunika sio mchezo. Tayari 60% ya maparachichi ya hass ya export yanatoka Mulang'a kwa kina Mwagi wa Ilia. [emoji1] Alafu nasikia hivi majuzi wamepanda miparachichi mingine 2 million! Kitaeleweka tu hivi karibuni, inshaalah.