Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,381
- 108,074
Yaani hata hujui maana ya food security, lakini lazima uchangie tu, ili uonekane mjaaanjaaa! Dah! Haimaanishi 'ulinzi wa vyakula' kama vikosi vyenu vinavofanya na korosho. Hahaha! [emoji1]How can you discuss about food security while you don't have food?. Kenya is supposed to discuss hunger because that is what Kenya knows most.
Hahahahahaha, huwezi kuzungumza kulinda Amani katika nchi yenye vita, lazima mzungumzie kumaliza vita kwanza.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani hata hujui maana ya food security, lakini lazima uchangie tu, ili uonekane mjaaanjaaa! Dah! Haimaanishi 'ulinzi wa vyakula' kama vikosi vyenu vinavofanya na korosho. Hahaha! [emoji1]
Haiya!!! [emoji15][emoji15][emoji15] Jombaa, sio mzaha jielimishe kwanza, ujue food security inamaanisha nini alafu ndio urejee upya. Utajiabisha.Hahahahahaha, huwezi kuzungumza kulinda Amani katika nchi yenye vita, lazima mzungumzie kumaliza vita kwanza.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umebanwa kila pembe unatapatapa, hamuwezi kuzungumzia food security wakati hamna chakula, ninyi ni njaa njaa kila pembe ya nchi, anzeni kuzungumza kuhusu " food availability " kwanza, then mkishakipata hicho chakula, ndio muengie hatua ya kuhakikisha you secure its availability, you can't secure something which is not available my brother from another mother.Haiya!!! [emoji15][emoji15][emoji15] Jombaa, sio mzaha jielimishe kwanza, ujue food security inamaanisha nini alafu ndio urejee upya. Utajiabisha.
Wanatufuata kila mahali. Their role models.. Huoni venye wamejazana hapa Kenyan news🙂🙂ma bongolala ni wengi kwa hi thread
Hapa ni Tanzania, tumewapa chumba kimoja ndani ya NYUMBA yetu, sisi wenye NYUMBA tuna haki ya kutembelea kila chumba. Mbona watanzania hatujazani katika forums za Kenya?, hata ninyi wenyewe hampendi forums zenu kwasababu ya ukabila na matusi.Wanatufuata kila mahali. Their role models.. Huoni venye wamejazana hapa Kenyan news
Hahaa! [emoji1] Hainaga haja kubishana na watu kama hao, inabidi uwapuuze tu. Mtu hata hajui food security inamaanisha nini alafu bado anakuja na pumba zake na anazi'present' na confidence kama fact, eti Kenya hakuna chakula kabisa. 'Food availability' nayo ndio jambo la msingi kabisa kwenye 'food security'. Fact: Tz sio nchi ambayo ni food secure, infact nchi nyingi za bara la Afrika na Asia pia sio food secure..... na kwenye nchi zote hizo, asilimia hamsini na zaidi ya ardhi zao ni jangwa, tofauti na hawa jirani zetu Tz.🙂🙂ma bongolala ni wengi kwa hi thread
Huna hoja wewe.Hapa ni Tanzania, tumewapa chumba kimoja ndani ya NYUMBA yetu, sisi wenye NYUMBA tuna haki ya kutembelea kila chumba. Mbona watanzania hatujazani katika forums za Kenya?, hata ninyi wenyewe hampendi forums zenu kwasababu ya ukabila na matusi.
Hahahahaha, wewe akili zako ni ndogo sana. Acheni maneno mengi wakati kuna wakenya wanakufa muda huu Kyle Trukana, kitu muhimu kwa sasa ni kuhakikisha wanapata chakula ili wasife kwa njaa(food availability). Wakati watu wana uhakika wa chakula japo kwa miezi mitatu mbele, sasa unaweka mikakati ya kuhakikisha kuwepo kwa uhakika wa chakula for the next 3 years ahead(food security).Hahaa! [emoji1] Hainaga haja kubishana na watu kama hao, inabidi uwapuuze tu. Mtu anakuja na pumba zake na anazipresent ni kama fact, eti Kenya hakuna chakula. 'Food availability' nayo ndio jambo la msingi kwa 'food security'. Fact: Tz sio nchi ambayo ni food secure, infact nchi nyingi za bara la Afrika na Asia pia sio food secure..... na nchi zote hizo, asilimia hamsini ya ardhi zao ni jangwa, tofauti na hawa jirani zetu Tz.
Ukikaribishwa NYUMBANI kwa watu, lazima uwe na nidhamu ya hali ya huu, mkileta ujuaji tutawafurusha mchana kweupee.Huna hoja wewe.
Ukikaribishwa NYUMBANI kwa watu, lazima uwe na nidhamu ya hali ya huu, mkileta ujuaji tutawafurusha mchana kweupee.
Uhuru trolled for receiving ‘food rations’ from UAEUpuuzi mtupu, Tz sio nchi 'food secure', karibuni Nairobi, kwenye kongamano la kimataifa mjifunze mengi kama sisi. Msijilinganishe na nchi kama Kenya, ambayo asilimia kubwa ni jangwa, na bado tunawapiga bao na gap kila uchao. Kiuchumi, kielimu, kiafya na kwenye viashiria vyote vingine vya maendeleo, miundo mbinu, usambazaji wa umeme, 'internet connectivity',..... demokrasia n.k. Nyinyi endeleeni tu na propaganda na 'amani' yenu ya sisiemu. https://www.reuters.com/article/tan...ngry-despites-government-denial-idUSL5N1GJ5CP [emoji115][emoji115][emoji115] Takwimu za kushangaza kuhusu njaa Tz, huku serikali ikifumba macho na kuwanyamazisha wanahabari. https://www.twaweza.org/go/sauti-hunger-2017[emoji115][emoji115][emoji115] Utafiti mwingine pia kutoka kwa mashirika yenu, twaweza, kuhusu njaa Tz.