Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 1,946
- 2,500
je, unaweza ukathibitisha kuwa yeye sio Mungu?Wana jamvi Habari zenu.!
Hivi ndugu zetu wa kenya wanamatatzo gani?
Ukiachana na yule jamaa aliejiita mungu (YEHOVA WANYONYI) wa kenya magharibi alifariki 2021.
sasa tena hukohuko kenya magharibi, akaunti ya kakamega, kitongoji cha chibuli.
mkazi mmoja akitambulika kwa jina la Afred Ndeta kajitangaza yey ni mungu na ndo baba wa yesu kristo.
anadai alishushiwa ufunuo huo 1987.
najiulza ndugu zetu wakenya nin kinawasibu mpaka kufikia hatua ya kutaman mpaka cheo cha Mungu.?
Na matukio mengne yaliyotukia ya wachungaji kuua mamia ya waumini kwa kuwashindisha njaa, wakiaminishwa yesu anakuja kuwachukua.
Ila Wakenya
duuh watu mmevurugwa aisee! Nadhani hadi ndotoni mnaota si si emIla bora hao kuliko hizi maiti zinazotembea za Tanzania.
na hao wengne waliojiita mungu, walikufa kwa maralia wakikimbizwa hospital.je, unaweza ukathibitisha kuwa yeye sio Mungu?
hahahaha masihi wa Mungu akaogopa kichapo..Kuna yesu wa Tongareni, hajajitokeza kitambo.....
Mara ya mwisho kumuona ilikua ni pasaka ya mwaka jana, wananchi walitaka kumsulubu wamtundike msalabani, akakimbilia kituo cha polisi kuwa maisha yake yapo hatarini
afadhari ya wakwetu wanajiita manabii na si mungu.Nyie wenu Mungu Zumaridi, Nabii Mwamposa na wengineo
kazi ipoDuh aiseee
aahaa! sasa nimepata jibu.Tatizo bangi,kenya wanalima bangi kama mchicha