Mwamposa coming soon watu walibebeshwa udongo na wakabeba akawaambia watoe hadi senti yao ya mwisho wajimalize sadaka ya kujimaliza hadi kile Cha mwisho ulichonacho wanakubari wanatoa wanatembea kwa mguu Kawe kuelekea Mbagala akiwaambia wasile wafunge mwezi mzima unafikiri wale vichaa watagoma ?Mambo kama haya yakitokea nchini nitafurahi sana
Wanajibana kunyaDuh aiseee siku moja tu siwezi pitisha bila kula wao hio wiki wanawezaje jamani
kwanini?Mambo kama haya yakitokea nchini nitafurahi sana
Nikisikia watu atleast 100 hv wameenda na maji nitafurahi mno.Mwamposa coming soon watu walibebeshwa udongo na wakabeba akawaambia watoe hadi senti yao ya mwisho wajimalize sadaka ya kujimaliza hadi kile Cha mwisho ulichonacho wanakubari wanatoa wanatembea kwa mguu Kawe kuelekea Mbagala akiwaambia wasile wafunge mwezi mzima unafikiri wale vichaa watagoma ?
Si walikanyaga mafuta wakakanyagana wakauana Moshi huko sijui Arusha wakafa watu kibao Mwamposa alikamatwa akahojiwa yakaishia juu ya juu, akaachiwa aendelee kuwagonga vichaa unataka yatokee mara ngapi ?kwanini?
Kuna nyimbo hapa naisikiliza kwenye upendo tv muda huu inaimba hivikwanini?
Ile ya Moshi Arusha waliyokanyagana kwenye mafuta umesahau au ?Nikisikia watu atleast 100 hv wameenda na maji nitafurahi mno.
Wachache sana wale, mm nataka 100 chap kwa haraka au matukio yaongozane kama matano hiviIle ya Moshi Arusha waliyokanyagana kwenye mafuta umesahau au ?
Kuna yule alikua anasema watu waende na mavuzi yakaombewe, Serikali ikampiga Rolex wangemuachia yule ungesikia kaangamiza wajawazitoWachache sana wale, mm nataka 100 chap kwa haraka au matukio yaongozane kama matano hivi
Halafu yeye hajimalizi. Na si kwamba hizo sadaka anaenda kupanua "Huduma" anaenda kujenga hoteli Mbeya.Mwamposa coming soon watu walibebeshwa udongo na wakabeba akawaambia watoe hadi senti yao ya mwisho wajimalize sadaka ya kujimaliza hadi kile Cha mwisho ulichonacho wanakubari wanatoa wanatembea kwa mguu Kawe kuelekea Mbagala akiwaambia wasile wafunge mwezi mzima unafikiri wale vichaa watagoma ?
Eh hy sijaisikia, ilkuwa wapi hyKuna yule alikua anasema watu waende na mavuzi yakaombewe, Serikali ikampiga Rolex wangemuachia yule ungesikia kaangamiza wajawazito
Na kununulia Mashamba ya maparachichi sio ya kanisa lake Mashamba ya kwake kwa sadaka za vichaa waliojimaliza kutoa buku buku zaoHalafu yeye hajimalizi. Na si kwamba hizo sadaka anaenda kupanua "Huduma" anaenda kujenga hoteli Mbeya.
Wewe sio YesuYesu alifunga siku 40 usiku na mchana.
Na sisi hatuwezi kushindwa. Si eti eeh?