Kenya is the 6th Richest Nation in Africa

Hao ivory coast wameibuka ghafla hadi wametupita...ila ngoja tuone 2022 itakuaje
Tz ya 9 , Angola 10 , Ivory Coast 11


Ingawa hizi takwimu ni za uchumi wa Kwenye makaratasi.

Naamini gdp ya Tz ni kubwa zaidi ya Hii ya Kwenye makaratasi sababu bado kuna maeneo mengi kodi haipatikani , haikusanywi, inasamehewa, inakwepwa,mapato( revenue) yanavuja hayaendi hazina , namba kubwa ya watu haitumii mabenki na njia za simu Katika malipo na kuhifadhi ela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…