joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
You must be one among idiots, if 20 Kenyans die, that is only 12% of 189 cases you have, and only 10 Tanzanians die, that is about 30% of 32 cases we have, are you comfortable for having many deaths but low in percentage?. Hahahaha, hahahaha.Are you a prophet of doom or so? Are you a witch? You seem to concentrate so much on infections and deaths. I have never seen your post on recoveries. For your information, the number of recoveries globally are higher than the number of deaths. The number of deaths in Kenya right now is 7 which is 3% of total cases(189). Tz is 5 which is 9% of total cases (32). ...So it's ironical to wish Kenya Mass deaths because we shall be testing more forgetting your own country has a higher % of death rate. In any case which better, test and mitigate or fail to test and let people infect themselves and wait till it's full blown!Think
Jamaa ni muongo muongo sana na pr zake na hutoona wakenya wenzake humu wakimuambia yupo wrong! zaidi ya kutetea ujinga wake.sasa kama umepima 6000 kwa wiki zote alaff leo unataka kutuletea stori za vipimo 35000 kwa siku nyie serikali yenu ishawaona mazuzu mnapelekwa pelekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni muongo muongo sana na pr zake na hutoona wakenya wenzake humu wakimuambia yupo wrong! zaidi ya kutetea ujinga wake.
Yani wewe inaonekana hata ukilala, unaiota Tanzania.Mamaaaa!! 35,000 kwa siku, aki ya nani, kwa hili la Corona Kenya imeonyesha nini maana ya kuwa kiongozi.....
Hapa sasa hata majirani ambao kwao imekua mtihani, itabidi waanze kutuma sampuli zao huku tuwapimie.
Hahahaha, ninyi ni wajinga sana, nani aliyekuambia kwenye vifo tutaangalia death rate?. Kwahiyo ninyi watu 30 wakifa lakini inaonyesha kwamba rate ni ndogo kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa, mnaona ni nzuri kuliko nchi yenye vifo 10 ila kwasababu wanaidadi ndogo ya wagonjwa ndio inaonekana rate ndogo.Do you know death rate in Tanzania is 9.3% while in Kenya is 3.1%? Hide your stupidity.
Anko hivi unajua kuwa huwezi ficha ugonjwa??? Maana vifo vitakuumbua saa kama unasema hatupimi na waloambukizwa ni wengi sasa mbona hamna vifo wala hospital hakuna wagonjwa si wangejaa mahospital yote tz??Nyie hapo na liinchi lote mumeshindwa hata na Rwanda saizi ya mkoa, wao wanapima wengi kwa siku zaidi yenu, naona hata Zanzibar wameanza kutoa mahesabu yao pembeni maana wamehisi mlivyo wazembe mnawakwamisha, ongezeko la waathirika Zanzibar wote wanatokea bara, mnaogelea kwa kirusi na kuwaponza majirani wenu wote, huku mnatuibukia kila mkipimwa mumesheheni kirusi.
Una kichwa kigumu huelewi chochote....hapo mbeleni hatukua na uwezo wa kufanya tests 35000 tulkua tunafanya averagely tests 600 kwa siku, ila sasa technologia mpya kutoka kwa kemri itaiwezesha serikali kupima watu 35,000 kwa sikusasa kama umepima 6000 kwa wiki zote alaff leo unataka kutuletea stori za vipimo 35000 kwa siku nyie serikali yenu ishawaona mazuzu mnapelekwa pelekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
rudi kwenye mada yako test ata 1000 kwa siku umeshindwa kufanya leo unataka kupiga domo eti 35000 kwa siku ebu fichaga ujinga wako sometime
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona kinacho fanyika kule kwao.
It seems you are willfully being ignorant. Let me summarize it for you.sasa kama umepima 6000 kwa wiki zote alaff leo unataka kutuletea stori za vipimo 35000 kwa siku nyie serikali yenu ishawaona mazuzu mnapelekwa pelekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko hivi unajua kuwa huwezi ficha ugonjwa??? Maana vifo vitakuumbua saa kama unasema hatupimi na waloambukizwa ni wengi sasa mbona hamna vifo wala hospital hakuna wagonjwa si wangejaa mahospital yote tz??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote mbaowapima tayari mumeshawatenga, kwasababu mnapima wale ambao wapo kwenye karantini na wale mliowapata katika " contacts tracing", swali la kujiuliza ni kwamba, kama tayari watu mumeshawatenga, hawawezi kuambukiza, kuna umuhimu gani wa kupoteza "resources" kwa kuwapima wote badala ya kusubiri siku 14 zifike ili wenye dalili ndio wapimwe na wasio na dalili waachiwe?.Kuna kitu Watanzania mnapaswa kuelimishwa, maana hili naona wengi linawapiga chenga na labda ndio maana serikali yenu imezembea kwenye hili suala la Corona.
- Kutajwa una Corona haufi moja kwa moja
- Kuna watu wenye Corona bila hata kujua wanayo
- Waliopmwa huku Kenya ni wale ambao wamefuatwa na serikali baada ya kubainika walihusiana kwa namna moja au nyingine na waathrika wa kwanza
- Corona hapa Afrika bado haijasababisha vifo vingi, hili wanasayansi wameshindwa kubaini nini sababu
- Mwafrika wa kawaida akiumwa mafua, ni vigumu sana aende hospitalini
- Wakenya wengi waliogunduliwa kuwa na Corona, inasemekana iko mild sana kwao, hawahisi chochote kikubwa, yaani isingekua kwa kufuatwa na serikali, hawangejipeleka hospitalin wenyewe, maana kwa Mwafrika kitu kama mafua unayanywea maji moto ya limau tu basi
- Hivyo hata huko Tanzania, ikitokea Corona imetinga mtaani, wengi hata hamtajua ni yenyewe, labda pale iwakute mnaoumwa mazagazaga mengine, ndio hatari
- Kwa hivyo, sababu zetu za kupima watu wengi ni ili kujaribu kuwatenga wasije kuwaambukiza wazee au Wakenya wenye matatizo mengine
Idiot, who said im comfortable with people dying? You have been trying to prove how Kenyans are dying in numbers and wanting more to die because you are the 😈 himself, then I explained to you Mathematically. Let me teach you because you are so dumb to understand. Percentage means rate. Even if Kenya has higher number of Corona deaths, Tz people are dying at at a higher rate. This means for every 100 people who are infected in Kenya, 3 die while in Tz 9 die. Is it hard to understand that? Go back to class you Moron.You must be one among idiots, if 20 Kenyans die, that is only 12% of 189 cases you have, and only 10 Tanzanians die, that is about 30% of 32 cases we have, are you comfortable for having many deaths but low in percentage?. Hahahaha, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio Kenya halisi na sio porojo za huyo jamaa.Ona kinacho fanyika kule kwao.
You are asking too much from their brains! They have the IQ of a sewer rat, thinking, logic, reasoning is not their strength. What they are strong at is bind nationalism and stupid dare I say, almost pathological obsession with anything from Kenya especially Kibera.Idiot, who said im comfortable with people dying? You have been trying to prove how Kenyans are dying in numbers and wanting more to die because you are the 😈 himself, then I explained to you Mathematically. Let me teach you because you are so dumb to understand. Percentage means rate. Even if Kenya has higher number of Corona deaths, Tz people are dying at at a higher rate. This means for every 100 people who are infected in Kenya, 3 die while in Tz 9 die. Is it hard to understand that? Go back to class you Moron.
Parting shot: I wish all those infected both in Kenya and Tz and globally quick recovery so that we can get things back to normal.
GOK haifanyi mambo kwa kurupuka.According to research It's Estimated 25 percent of people infected don't present any symptoms or fall ill but can still transmit the illness to others.Hao wote mbaowapima tayari mumeshawatenga, kwasababu mnapima wale ambao wapo kwenye karantini na wale mliowapata katika " contacts tracing", swali la kujiuliza ni kwamba, kama tayari watu mumeshawatenga, hawawezi kuambukiza, kuna umuhimu gani wa kupoteza "resources" kwa kuwapima wote badala ya kusubiri siku 14 zifike ili wenye dalili ndio wapimwe na wasio na dalili waachiwe?.
Lengo la kuwapima watu ambao tayari mumewatenga hawawezi kuambukiza hata kama wanavyo virusi ni lipi hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiandika kizungu koko basi ndio unajiona uko mbinguni, ha ha ha....What they are strong at is bind nationalism...
Of course, when a Tanzanian has no point to offer or they reach the end of their reasoning, Kibra must come up. Quite predictable.Hiyo ndio Kenya halisi na sio porojo za huyo jamaa.
Kanawe uso kwanza uondoe maruerue, yanafanya uonekane mjinga,
Unaelewa nini maana ya "automatic tests", tafuta mtu akutafsirie wacha kuwa mpumbavu.