Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Dah jamani hii threesome uwe umeshiba kweli kweli unaweza rest in peace ukileta utani.Wanaume wa kizazi hiki wala chips, nguvu za kiume hamna halafu eti anataka threesome
Mwamba ni Yesu pekee,binadamu wote no tope.Dah jamani hii threesome uwe umeshiba kweli kweli unaweza rest in peace ukileta utani.
Ila sawa mwamba kafa juu ya papuchi. Hiki ni kifo kkzuri sana. Unarudi kule ulipotokea
Punguza dharau wwWanaume wa kizazi hiki wala chips, nguvu za kiume hamna halafu eti anataka threesome
Wee nae umekosa vyakufananisha. Sasa yesu tangu lini akawa mwamba, yaani wee unakosea muumba wako heshima mpaka mwanae aliyemtoa aje akukomboe unamwita mwamba. Nenda tkatubu braza. Tuwe na heshima kwa muumba wetu huwezi kumuita yesu mwamba kama una akili timamu.Mwamba ni Yesu pekee,binadamu wote no tope.
Mbona ukila parachichi na tikiti maji na ukanywa tangawizi siku mbili tu unakuwa dume la simba3some hata 4some huhitaji ufundi sio vitu vya kupapatikia na maviagra......unaicheza freshi tu japo kwa kimikakati.
Acheni viagra, tumia mbinu za asili, kwa msiojua haswa vijana, tafuteni mbegu za moringa zipo nyingi kote, au hata mbegu za maboga/pumpkin seeds, ni vitu vya asili ambavyo vimedhihirishwa kisayansi maana zina madini ya zinc ambayo huongeza testosterone.
Ukizila miezi mitatu utaanza kuona matokeo na haitotokea uhitaji hizo viagra.
Mbona ukila parachichi na tikiti maji na ukanywa tangawizi siku mbili tu unakuwa dume la simba
Wanaume wa kizazi hiki wala chips, nguvu za kiume hamna halafu eti anataka threesome
Dah jamani hii threesome uwe umeshiba kweli kweli unaweza rest in peace ukileta utani.
Ila sawa mwamba kafa juu ya papuchi. Hiki ni kifo kkzuri sana. Unarudi kule ulipotokea
Ukweli nikwamba huwezi shindana na ulipotokea kuja duniani
Tuheshimu huo mlango.