Kelele za mahaba kitandani

Nimesoma neno kwa neno, mtoa thread sio mtu wa Tanzania. Ahsante, tunakukaribisha Tanzania karibu sana
 
Usijibane piga keleleeeeeeeeeeeee,kuna vitu vyengine huwezi kujibana........
 
Kelele kuna wakati wake sio mwanzo mwisho mikelela wengine waongo tuuu.
 
inanikumbusha Guest flani hivi pale Uyole, baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta Guest nilipata moja hivi arrghhhh sikulala aisee usiku kucha dada anapiga kelele mbaya... inaonekana jamaa alikuwa amepania mno. Asubuhi unatoka na wao wanatoka unajiuliza ndio hawa lakini? dooh hatari
 
Kelele za kugegedana..[emoji1] [emoji1] ofcz ni nzr znaamsha mchecheto na kuinua adrenaline [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli kabisa nimejaribu kujibana lkn hisia zinapokuja kwenye bao mwanamke lazima aniachie niitafune tu maana sio kwa miguno nayotoaga mkuu
Mwanaume pia inatakiwa atoe miguno ya utamu kitandani inaongeza utamu kwa mwanamke. Wengine wanashughulika kimya mwanzo mwisho kama wamekwenda kuiba benki kuu. mwanamke akisikia sauti ya mwanaume raha (utamu) unaongezeka Mara dufu
 
its sexual pleasure ,,,,,,,,,huwezi kuficha utamu wa hii kitu ya wanawake.
 
Mwanaume pia inatakiwa atoe miguno ya utamu kitandani inaongeza utamu kwa mwanamke. Wengine wanashughulika kimya mwanzo mwisho kama wamekwenda kuiba benki kuu. mwanamke akisikia sauti ya mwanaume raha (utamu) unaongezeka Mara dufu
Na zile besi km simba dume inanifurahishaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…