F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 5, 2019 #1 Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini?
Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini?
Y BUS Member Joined Jun 19, 2019 Posts 28 Reaction score 22 Jul 5, 2019 #2 fatma sekkaya said: Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini? Click to expand... Tayar washaanza kuita .
fatma sekkaya said: Habar zenu wadau naomba kuuliza kwa wale tulioifanya interview tanga tanesco vp wameshaita watu kazini? Click to expand... Tayar washaanza kuita .
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 5, 2019 Thread starter #3 Ok tenx
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 5, 2019 Thread starter #4 Y BUS said: Tayar washaanza kuita . Click to expand... Wameanza lini kuita je ww umeitwa?
Y BUS Member Joined Jun 19, 2019 Posts 28 Reaction score 22 Jul 6, 2019 #5 fatma sekkaya said: Wameanza lini kuita je ww umeitwa? Click to expand... Wameanza kuanzia kama majuzi hivi kwenye tarehe 4 kunajamaa yangu ndio alifnya hiyo wamemuita tayari.
fatma sekkaya said: Wameanza lini kuita je ww umeitwa? Click to expand... Wameanza kuanzia kama majuzi hivi kwenye tarehe 4 kunajamaa yangu ndio alifnya hiyo wamemuita tayari.
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 6, 2019 Thread starter #6 Alifanya kwa kada ipi maana mm nimefanya ya uhasibu na nimewauliza wahasibu wenzang wanasema hawajaitwa ndio maana nauliza.
Alifanya kwa kada ipi maana mm nimefanya ya uhasibu na nimewauliza wahasibu wenzang wanasema hawajaitwa ndio maana nauliza.
Y BUS Member Joined Jun 19, 2019 Posts 28 Reaction score 22 Jul 6, 2019 #7 fatma sekkaya said: Alifanya kwa kada ipi maana mm nimefanya ya uhasibu na nimewauliza wahasibu wenzang wanasema hawajaitwa ndio maana nauliza. Click to expand... Electrical Technician
fatma sekkaya said: Alifanya kwa kada ipi maana mm nimefanya ya uhasibu na nimewauliza wahasibu wenzang wanasema hawajaitwa ndio maana nauliza. Click to expand... Electrical Technician
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 6, 2019 Thread starter #8 Ahaa ok
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,218 Jul 6, 2019 #9 fatma sekkaya said: Ok tenx Click to expand... Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana.
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 6, 2019 Thread starter #10 kawoli said: Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana. Click to expand... Sawa ukiitwa wewe pia itakua vzur
kawoli said: Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana. Click to expand... Sawa ukiitwa wewe pia itakua vzur
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,885 Reaction score 13,261 Jul 6, 2019 #11 kawoli said: Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana. Click to expand... Eti na yeye anataka awe Mtumishi wa serikali halafu yakifanyika madudu watu wanashangaa na kumlaumu Raisi.
kawoli said: Kwa lugha hiyo ukiitwa kazini nitasha gaa Sana. Click to expand... Eti na yeye anataka awe Mtumishi wa serikali halafu yakifanyika madudu watu wanashangaa na kumlaumu Raisi.
F fatma sekkaya Member Joined Sep 8, 2018 Posts 25 Reaction score 3 Jul 7, 2019 Thread starter #12 Vzur