Tayari watu wapo kazini. Waliajiriwa Julai
Tayari watu wapo kazini. Waliajiriwa Julai
Wapendwa wa Jamii Forums, naomba mnifahamishe kama wale waliomba nafasi za kazi za kufundisha UDOM yaani kazi za TUTORIAL ASSISTANTS,
LECTURERS, ASSOCIATE PROFESSORS NA PROFESSORS, je, wameishaitwa kwenye usaili au bado maana muda ni mrefu. Kazi zilitangazwa mwezi wa
Mei, 2011 na wakati wale waliomba mwezi wa Agosti tayari wameishaitwa kwenda kwenye usaili. Nauliza maana ninafatilia lakini sijaona tangazo la kuwaita na wakipigiwa simu majibu hayaeleweki mara wasiliana na watu wa HR wakati namba
zao za simu hazijulikani.
we Gerrard una uhakika na hzo taarifa?
Bado hawajaanza kazi
Mimi nilifanya interview mwishoni mwa mwezi July, nikaitwa kuripoti September ili nifundishe ila bado sijawasili. Nilipigiwa simu siku 3 kabla ya interview. Ila nadhani pia inategemea na Collage
<br>Acha hizo sielewi ni vigezo gani wanafuata lkn kuna jamaa sifa anazo na ni muislam na hajaitwa hata mara moja na ameomba mara nyingi lkn bila ya mafanikio jaribu tena,kama afanyavyo labda kuna kipindi wakihitaji tena watu utaitwa.kuna kipindi walienda hata kurecruiti watu India na kenya na wakaacha watanzania nafikiri hili lilikaa kipadiemu zaidi na mengine sijajui.Usikate tamaa,jaribu tena ndugu yangu!Ukiona hivyo ujue wamekumwaga jaribu chuo kingine...<br>
<br>
Kuna mwana JF alisema kama unaomba kazi UDOM jitahidi kuweka jina la kiislam la uongo eti watakuita fasta bila kauzibe
mkuu umejichanganya sana ktk hii post yako. yaani umeenda mbele then ukarudi nyuma, mithili ya kifurugobe!
Mimi nilifanya interview mwishoni mwa mwezi July, nikaitwa kuripoti September ili nifundishe ila bado sijawasili. Nilipigiwa simu siku 3 kabla ya interview. Ila nadhani pia inategemea na Collage
Mimi nilifanya interview mwishoni mwa mwezi July, nikaitwa kuripoti September ili nifundishe ila bado sijawasili. Nilipigiwa simu siku 3 kabla ya interview. Ila nadhani pia inategemea na Collage
Mimi nilifanya ile interview ya mwezi July kwenye College of Health and Allied Sciences. Mwezi huohuo (July), kuna rafiki yangu alifanya interview kwenye school of natural sciences na tayari alisahitwa kuanza kazi mwishoni mwa mwezi Sept . Kwa kifupi kama mpaka leo hujaitwa ujue umeikosa, endelea kutafuta kwingine kwani lazima ufanye kazi UDOM?.
we mwenyewe vp mbona unamsemeha mwenzako aliitwa mwez sept instead of nimeanza kazi mwez sept