S sali20 Member Joined Jul 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 16, 2013 #1 Wanajamii yoyote mwenye information kuhusu zile kazi za postal bank teller arusha na operation officer zanzibar brach?
Wanajamii yoyote mwenye information kuhusu zile kazi za postal bank teller arusha na operation officer zanzibar brach?
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Jul 17, 2013 #2 Wale jamaa hawakuwa serious,wanaweka email ambazo ukituma application wanakwambia inbox yao imejaa.ngoja waje wenyewe
Wale jamaa hawakuwa serious,wanaweka email ambazo ukituma application wanakwambia inbox yao imejaa.ngoja waje wenyewe
B BUNDLE Senior Member Joined Feb 9, 2013 Posts 140 Reaction score 34 Jul 17, 2013 #3 NIGGA said: Wale jamaa hawakuwa serious,wanaweka email ambazo ukituma application wanakwambia inbox yao imejaa.ngoja waje wenyewe Click to expand... rediculous.,,, my friend faced the same problem.....
NIGGA said: Wale jamaa hawakuwa serious,wanaweka email ambazo ukituma application wanakwambia inbox yao imejaa.ngoja waje wenyewe Click to expand... rediculous.,,, my friend faced the same problem.....
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Jul 17, 2013 #4 BUNDLE said: rediculous.,,, my friend faced the same problem..... Click to expand... Sasa sijui hawakujipanga....au it was tricky...walishapata watu wao kitambo hii nchi imetapakaa sana rushwa,kujuana na udini kweny ishu za ajira
BUNDLE said: rediculous.,,, my friend faced the same problem..... Click to expand... Sasa sijui hawakujipanga....au it was tricky...walishapata watu wao kitambo hii nchi imetapakaa sana rushwa,kujuana na udini kweny ishu za ajira
S sali20 Member Joined Jul 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 17, 2013 Thread starter #5 NIGGA said: Sasa sijui hawakujipanga....au it was tricky...walishapata watu wao kitambo hii nchi imetapakaa sana rushwa,kujuana na udini kweny ishu za ajira Click to expand... Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious!
NIGGA said: Sasa sijui hawakujipanga....au it was tricky...walishapata watu wao kitambo hii nchi imetapakaa sana rushwa,kujuana na udini kweny ishu za ajira Click to expand... Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious!
NIGGA JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 1,239 Reaction score 640 Jul 18, 2013 #6 sali20 said: Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious! Click to expand... Dont give up,ila things are different nowdays...
sali20 said: Jamani kwa kweli tutapata ajira kwa hali hii? Dam this country its hilarious! Click to expand... Dont give up,ila things are different nowdays...
H Hazard19 New Member Joined Jan 7, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jul 18, 2013 #7 i faced the same problm too...na mwisho nikaona niende physical wakaniambia hawapokei hard copies na hata kama nikiziwcha hazitashuhulikiwa.nikawaambia km emalz mlizoweka nikituma zinafail.wakasema nijaribu tena lakn emalz ndio izo izo
i faced the same problm too...na mwisho nikaona niende physical wakaniambia hawapokei hard copies na hata kama nikiziwcha hazitashuhulikiwa.nikawaambia km emalz mlizoweka nikituma zinafail.wakasema nijaribu tena lakn emalz ndio izo izo