Kazi ya ualimu primary

otoni ndanzi

Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
7
Reaction score
4
Natafuta kazi ya ualimu shule ya msingi,nimetahiniwa kufundisha masomo yote ya primary
 
English medium unaweza... namaanisha je upo vizuri kwenye kiingereza!
 
ni kasheshe sana mkuu... ukute watoto wenyewe wanajiweza sasa... kila mtu anakuelezea kwa sifa..!!!!!
Hahahahaha nakumbuka assessment ya ticha mmoja wa field ilikuwa balaa, kingereza kiheshimiwe na watu wote
 
English medium unaweza... namaanisha je upo vizuri kwenye kiingereza!
Ndio, nipo vizuri kwa English.lakini pia Nina certificate ya teaching HIV/AIDS,life skills,guidance & cunceli,emergency care,environmental issues and home based care Kwahiyo kama nafasi ipo nipo vizuri
 
English medium Hata graduate hawapakimbilii, zile kesi za watoto kuziamua kwa kingereza kazi kweli


HAWANA LOLOTE MM NIMEFANYA SANA KAZI KATIKA HIZO SHULE NILIKUWA NAHOFIA HIVYO HIVYO.

TENA WATOTO WENGINE HATA KISWAHILI HAWAJUI SI MCHEZO.

NAMSHUKURU ALLAH NINA UZOEFU WA KUTOSHA KATIKA HIZO SHULE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…