Kazi psrs

xiande

Member
Joined
Oct 3, 2012
Posts
90
Reaction score
12
Jamaa wametoa kazi kupitia gazeti la serikali daily news la leo hii 2013.04.15
1:-monitoring and evaluation (M&E)
2;-public financial manager

Deadline ni april 30-
Kwa maelezo zaid ya sifa kamata nakala yako ya daily news faster bila kuchelewa...
Best of luck
 

sio hizo tu,lakini hizo kazi zimerudiwa kutangazwa mara ya 3 sasa,inaonekana Tz hakuna mtu anayekidhi vigezo au wapo ila hawaombi
 
Wengne tupo bush kupata hilo gazeni ni ishu,tusaidien kuweka tangazo ili tuapply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…