Kazi kwa walio Bukoba

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Nilipewa taarifa na jamaa yangu mmoja kuw shilika la KOLPING TANZANIA wametangazs nafazi za kazi kwa walimu kwa ajili ya shule yao ya St.Joseph sekondari iliyopo manispaa ya Bukoba.

Leo nimeenda pale kuona tangazo nkakuta wanahitajika wa maths na physics wenye diploma au bachelor. Mimi nina diploma na bachelor ila masomo ni history na english.

Kwa ukarimu wangu nkaona niwajulishe wadau fika pale ofisini kwao karibu na Ihungo sekondari upate detsils maana mm nilipoona masomo sio yangu sikupoteza muda zaidi.

Najua wapo wahuni watakuja na ujinga wao eti mbona husemi deadline n.k.sijaangalia kitu chochote zaidi ya kujua tangazo linahusu nn.wapi na masomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…